Rafiki
Sehemu ya Marafiki Wadogo
Machi 2024


“Sehemu ya Marafiki Wadogo,” Rafiki, Machi 2024, 43.

Sehemu ya Marafiki Wadogo

Picha
alt text

Tuna yai maalumu la Pasaka kwa ajili ya Yesu. Yai Lake li tupu kwa sababu Yeye alifufuka.

Claire, Russell na Sophie C., umri miaka 5, 2 na 3, Colorado, Marekani

Picha
alt text

Kaka yangu mdogo alilia kwa sababu alimkumbuka mama yetu. Nilimfariji na kumsaidia atulie.

George W., umri miaka 4, Virginia, Marekani

“Ninajua Baba yangu yu hai na ananipenda pia.

Roho ananinong’oneza na kuniambia kwamba ni kweli,”

Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 5

Picha
PDF ya hadithi

Chapisha