Machi 2024 Marafiki WapendwaSoma ujumbe kuhusu Pasaka. Marafiki kwa BaruaSoma baadhi ya barua kutoka kwa rafiki zetu kote ulimwenguni! Henry B. EyringYesu Kristo yu HaiUjumbe wa Pasaka kutoka kwa Rais Henry B. Eyring Breanna CallKuku na VifarangaClara anamuona kuku akikusanya vifaranga vyake na kujifunza jinsi Yesu Kristo anavyofanya kama hivyo kwetu. Kumfuata Yesu huko Papua New GuineaKutana na Erwin kutoka Papua New Guinea na ujifunze jinsi yeye anavyomfuata Yesu. Salamu kutoka Papua New Guinea!Fanya ziara ili ujifunze kuhusu Papua New Guinea! Lucy Stevenson EwellJiwe la Zambarau lenye Kung’aaMarie anatubu baada ya kuiba jiwe kutoka kwenye maonyesho ya maktaba. Miraba ya Mikutano MkuuShughuli kwa ajili ya watoto kufanya wakati wa mkutano mkuu. Ninaweza Kuwaalika Wengine Kumfuata YesuChangamoto kwa ajili ya watoto kuwaalika wengine waje karibu zaidi na Yesu Kristo. Alelie Coronel-CamitanPasaka ya KukumbukwaJonas anasherehekea Pasaka pamoja na familia yake kwa kuimba nyimbo na kujifunza kuhusu Yesu Kristo. Dieter F. UchtdorfKwa Nini Tunasherehekea Pasaka?Soma ujumbe kutoka kwa Mzee Dieter F. Uchtdorf kuhusu Pasaka. Kazi ya Mikono ya PasakaKazi ya sanaa ya Pasaka ya kukumbuka Ufufuko wa Yesu Kristo. Mikaela WilkinsPenseli ya MpatanishiMsichana anachagua kusamehe baada ya mwanadarasa mwenza kuwa mkorofi kwake. Kumfuata Yesu PamojaMkusanyiko wa nukuu za watoto kutoka ulimwenguni kote. Kibali cha Hekaluni ni nini?Kadi za kila mwezi kuhusu mahekalu ulimwenguni kote na kweli kuhusu hekalu. Hekalu Katika Nchi ya AhadiShughuli ya picha iliyofichwa ya Wanefi wakijenga hekalu. Njoo, Unifuate Isaya ni nani?Nefi na Yesu walitumia maneno ya Isaya walipokuwa wanawafunza watu. Isaya alikuwa nabii. Yakobo na Nefi Walimwona YesuSoma hadithi kuhusu jinsi Yakobo na Nefi walivyokuwa mashahidi maalumu kwa Bwana. Shughuli za Njoo, UnifuateTumia shughuli hizi ili kujifunza Njoo, Unifuate pamoja na familia yako. Pollyanna Mattos VecchioMatone ya ImaniJacob alikuwa na imani ya kwamba anapofuata Neno la Hekima, Baba wa Mbinguni angemsaidia. Mathias HeldMfano MzuriMzee Held anasimulia kuhusu jinsi alivyokataa pombe na akawa mfano mzuri kwa wafanyakazi wenzake. Mbio za TundaMchezo hai wa kuwaweka marafiki na familia pamoja Margo na PaoloPaulo na Bibi wanapika pamoja na kuzungumza kuhusu kula kunakozingatia afya. Sehemu ya Watoto Wakubwa Sehemu ya Watoto WakubwaUtangulizi wa sehemu ya Watoto Wakubwa. Charlotte Larcabal SpeakmanJaneelyn Anaacha KuperuziJaneelyn anasukumwa kuacha kutazama video kwenye simu yake. Ilikuwa ni vigumu kujizuia, lakini yeye anasali. Nini kipo Akilini Mwako?Soma kwa nini kile unachochagua kutazama au kusikiliza ni muhimu sana. Uoanishaji wa Vyombo vya HabariShughuli ya mzingile ikiwafundisha watoto njia nzuri za kutumia vyombo vya habari. Mazungumzo na Will kuhusu Kuwasaidia WakimbiziWill kutoka Marekani anashiriki jinsi alivyowasaidia wakimbizi katika eneo lake. Emily B.Muda Zaidi Pamoja na MaxAshlyn anashiriki jinsi alivyopata faraja wakati alipompoteza mbwa wake. Sehemu ya Marafiki Wadogo Sehemu ya Marafiki WadogoKutana na baadhi ya marafiki wadogo kutoka ulimwenguni kote. Ninaweza Kumfuata Yesu kwa Kuwa na Shukrani kwa ajili ya Mwili WanguHadithi na shughuli kwa ajili ya watoto wadogo kuhusu kuwa wenye shukrani kwa ajili ya miili yao. Pasaka ni nini?Hadithi fupi kwa ajili ya watoto wadogo kuhusu maana ya Pasaka. Yesu ni Mwokozi wetuUkurasa wa kupaka rangi wenye ujumbe “Yesu ni Mwokozi Wetu” Yesu Kristo Anawatembelea WanefiMchoro wa sanaa ya nakshi wa Yesu Kristo akiwatembelea Wanefi katika Amerika. Wapendwa WazaziSoma ujumbe kwa ajili ya wazazi kuhusu vyombo vya habari.