“Uoanishaji wa Vyombo vya Habari,” Rafiki, Machi 2024, 39.
Kitu cha kuburudisha
Uoanishaji wa Vyombo vya Habari
Fuata njia ya kila mtu ili kuona jinsi teknolojia inavyowasaidia! Je, ni zipi baadhi ya njia nzuri za kutumia vyombo vya habari?
-
Mama yake Diego husafiri sana kwa ajili ya kazi. Diego anamkumbuka sana.
-
Ruka ana wakati mgumu shuleni. Anahisi kuchoka na kuhuzunika.
-
Theo anapenda wanyama. Anataka kujifunza kuhusu wanyama kutoka kote ulimwenguni.
-
Kusikiliza muziki wa kuinua kunaweza kutufanya tuhisi vizuri zaidi.
-
Tunaweza kujifunza kuhusu uumbaji wa Mungu kutoka kwenye tovuti salama mtandaoni.
-
Tunaweza kutumia teknolojia kuzungumza na watu tunaowapenda, hata kama wako mbali sana.