Nefi anaona katika ono kanisa la ibilisi limeanzishwa miongoni mwa wayunani, uvumbuzi na ukoloni katika Marekani, kupotea kwa sehemu nyingi zilizo wazi na za thamani za Biblia, kama matokeo yake hali ya ukengeufu wa myunani, urejesho wa injili, kutokea kwa maandiko ya siku za mwisho, na ujenzi wa Sayuni. Karibia mwaka 600–592 K.K.