Mfalme Benjamini anahutubia watu wake—Anawakumbusha kuhusu haki, wema, na ustawi wa kiroho wa utawala wake—Anawashauri wamtumikie Mfalme wao wa Mbinguni—Wale ambao wanamuasi Mungu, watateseka kwa huzuni iliyo kama moto usiozimika. Karibia mwaka 124 K.K.