2021
Utayarishaji wa Kitabu cha Kwanza cha Nyimbo za Kanisa
Machi 2021


“Utayarishaji wa Kitabu cha Kwanza cha Nyimbo za Kanisa,” Kwa ajili ya Nguvu Kwa Vijana, Machi 2021, 9.

Njoo, Unifuate

Utayarishaji wa Kitabu cha Kwanza cha Nyimbo za Kanisa

Picha
Utayarishaji wa Kitabu cha Kwanza cha Nyimbo za Kanisa

Waumini wa Kanisa wa miaka ya 1830 walipenda nyimbo takatifu za kanisa.

Kupitia Nabii Joseph Smith, Bwana alitoa ufunuo kwa Emma Smith kuhusu jinsi ambavyo angeweza kusaidia.

… chagua nyimbo takatifu za kanisa …

Emma alishirikiana na waumini wengine kukusanya na kuandika nyimbo za kanisa.

Kufikia mapema 1836, kitabu cha kwanza cha nyimbo za kanisa kilikuwa tayari.

“Kwani nafsi yangu hufurahia nyimbo za moyoni” (Mafundisho na Maagano 25:12).

Chapisha