2021
Emma Smith
Machi 2021


“Emma Smith,” Kwa ajili ya Nguvu Kwa Vijana, Machi 2021, 17.

Watu kutoka kwenye Historia ya Kanisa

Emma Smith

Picha
Emma Smith
  • 1804–1879

  • Alifanya kazi kama mwalimu wa shule.

  • Rais wa Kwanza wa Muungano wa Usaidizi wa Akina Mama.

  • Alikusanya kitabu cha kwanza cha nyimbo za kanisa.

  • Hata akiwa mtoto mdogo, Emma siku zote alihisi kushawishika kumwelekea Mungu. Alijitolea kuwahudumia wengine na aliitwa “bibi mteule” na Bwana (Mafundisho na Maagano 25:3).

Chapisha