Januari/Februari 2022 Yaliyomo Mpango wa Mungu Ni kwa ajili YenuMwongozo kwa wazazi juu ya kulipa kipaumbele toleo hili. Marissa WiddisonMwanzo na Agano la KaleUtangulizi wa toleo la sasa la gazeti, ukisisitiza dhima ya mwanzo. Phnom Penh, KambodiaMaelezo ya jumla ya ukuaji wa Kanisa huko Kambodia. Quentin L. CookKutafuta Njia ya FurahaMzee Cook anafundisha kwamba tunapowasaidia wengine kwenye njia ya kuelekea hatima yao ya kiungu, tunajisaidia wenyewe kwenye njia hiyohiyo. Anguko Lilikuwa Sehemu ya Mpango wa MunguMafundisho ya msingi kuhusu Anguko na matokeo yake. Kufanya Kuhudumu Kuwe na TijaHadithi na baadhi ya kanuni za kutafakari kwa ajili ya kufanya kuhudumu kwetu kuwe na tija. Sauti za Watakatifu wa Siku za Mwisho Corina BolivarMto SakafuniSikuona vibaya kumsaidia mama yangu kazi zake za nyumbani, lakini kwa nini mara zote nilikuta mto sakafuni? Nathan CordnerWana Kitabu cha Mormoni Hapa!Nilipokishika Kitabu cha Mormoni katika mikono yangu, nilihisi mizigo yangu imefanywa rahisi katika upendo mkarimu wa Mwokozi. Na María Isabel Rodríguez BugattoKuwa Shujaa KihisiaKijana mkubwa anashiriki jinsi kozi ya Kanisa ya kuwa shujaa kihisia ilivyomsaidia kujifunza kutafiti changamoto za maisha. Marissa WiddisonKumtafuta Yesu Kristo katika Agano la KaleKweli tano unazoweza kujifunza kuhusu Mwokozi katika Agano la Kale mwaka huu. Mark L. PaceBaraka za kujifunza Agano la KaleRais Pace anafundisha jinsi kitabu hiki cha kale cha maandiko kinavyoweza kuwa baraka na mwongozo kwetu. Njoo, Unifuate UumbajiMaelezo ya jumla ya kile kilichotukia wakati wa hatua za uumbaji. Henoko Alikuwa Nani?Mtazamo wa ukoo na maisha ya Henoko nabii wa Agano la Kale. Robbie JacksonHenoko na Mji wa SayuniSanaa ikionesha matukio kutoka katika Agano la Kale. Kurasa za Eneo la Afrika ya Kati Baraka za Ibada za Hekaluni katika Maisha yetu—Sasa na Milele Kujilinda na Kibali changu cha Hekaluni Kujifunza zaidi kuhusu Ukuhani wa Haruni ‘Kuisubiria siku yenyewe’: Jinsi waumini walivyojiandaa kwa ajili ya hekalu la DRC Januari 1993: Tawi la kwanza huko Cameroon Jinsi Kitabu cha Mwongozo Kinavyoweza Kukusaidia Ujifunze Zaidi kuhusu Wito Wako