“Kuwa Mwenye Kujitegemea,” Njia Yangu ya Agano (2020)
“Kuwa Mwenye Kujitegemea,” Njia Yangu ya Agano
Kuwa Mwenye Kujitegemea
Kuweza kukidhi mahitaji yako mwenyewe ya kiroho na kimwili huitwa kujitegemea. Ikiwa unahangaika katika kujitegemea, Kanisa hutoa nyenzo za kusaidia. Hii hujumuisha kozi za kusimamia fedha, kuanzisha na kukuza biashara na kupata elimu bora au kazi, na uvumilivu wa kihisia. Kila kozi inajumuisha msingi wa kiroho.
-
Jifunze juu ya umuhimu wa kujitegemea. Ikiwa itasaidia, fikiria kujiandikisha katika kozi ya kujitegemea kimwili katika kigingi chako. Fikiria kutumia:
-
My Path for Self-Reliance (kijitabu, 2016).
-
Finding Strength in the Lord: Emotional Resilience (2021).
-