Kuwaimarisha Waumini Wapya
Shiriki Injili


“Shiriki Injili,” Njia Yangu ya Agano (2020)

“Shiriki Injili,” Njia yangu ya Agano

watu watatu wakizungumza

Shiriki Injili

Fikiria juu ya baraka ambazo injili imeleta maishani mwako. Baba wa Mbinguni anataka watoto Wake wote wapate shangwe ya injili. Shiriki furaha uliyogundua pamoja na wanafamilia na marafiki, na waalike wajiunge nawe kanisani.

  • Jifunze kuhusu njia za kushiriki injili na wengine. Fikiria kutumia:

  • Fikiria kuhusu nani ungeweza kushiriki injili pamoja naye na jinsi injili inavyoweza kubariki maisha yao. Zingatia baraka unazopokea pale unaposhiriki injili.

  • Pokea mawazo ya kuimarisha ushuhuda wako na shiriki injili pamoja na wengine kwa kujiandikisha kwa ajili ya Barua Pepe za Kuishi Injili.

  • Ikiwa wewe ni mtoto, kijana au kijana mtu mzima mseja, fikiria juu ya uwezekano wa kuhudumu misioni ya kufundisha au misioni ya huduma ya muda mfupi au mrefu katika siku zijazo.