Kuwaimarisha Waumini Wapya
Tii Amri


“Tii Amri,” Njia Yangu ya Agano (2020)

“Tii Amri,” Njia Yangu ya Agano

Picha
mwanamke akiomba

Tii Amri

Unapotii amri, utapata amani na furaha na daima Roho atakuwa pamoja nawe (ona Mosia 2:41).

  • Jifunze juu ya umuhimu wa kutii amri. Hasa, jadili na akina kaka au dada zako wahudumiaji au na wamisionari amri zilizoainishwa katika Hubiri Injili Yangu.. (Amri ya kuishika Siku ya Sabato inajadiliwa katika uzoefu wa “Ikumbuke Siku ya Sabato na Uitakase.”) Fikiria kutumia;

  • Endelea kutii amri hizi. Ikiwa unasumbuka na moja au zaidi ya hizi, zungumza na askofu wako. Yeye yupo ili kukusaidia.

Chapisha