“Jifunze kuhusu Programu ya Wasichana,” Njia Yangu ya Agano (2021)
“Jifunze kuhusu Programu ya Wasichana,” Njia Yangu ya Agano
Jifunze kuhusu Programu ya Wasichana
Programu ya Wasichana inawasaidia wasichana wenye miaka 11 mpaka 18 kufanya kazi kwa pamoja ili kufanya na kuyashika maagano matakatifu na kukuza uongofu wao kwa Yesu Kristo na injili Yake.
-
Jifunze kuhusu jinsi gani wasichana katika Kanisa wanavyoimarishana wao kwa wao ili kuwa zaidi kama Kristo. Fikiria kutumia:
-
Lengo, dhima na madarasa ya Wasichana {ona Kitabu cha Maelezo ya Jumla, 11.1–11.3, ChurchofJesusChrist.org).
-
Introductory Guide for Children and Youth of The Church of Jesus Christ of Latter-day Saints (2019), ChurchofJesusChrist.org.
-
Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana: Mwongozo kwa ajili ya Kufanya Chaguzi (2022), ChurchofJesusChrist.org.
-
Sehemu za Kitabu cha Maelezo ya Jumla kuhusu kuitwa kwa wasichana katika miito (3.4.3.1, 11.3.4.1).
-
-
Ikiwa wewe ni mwanamke na una umri wa miaka 11 au zaidi, zungumza na askofu au rais wa Wasichana ili kujifunza zaidi kuhusu programu ya Wasichana na kukutana na urais wa darasa la Waishana.