Kuwaimarisha Waumini Wapya
Ishike Siku ya Sabato


“Ishike Siku ya Sabato,” Njia Yangu ya Agano (2020)

“Ishike Siku ya Sabato,” Njia Yangu ya Agano

Picha
darasa la Kanisa

Ishike Siku ya Sabato

Kila Jumapili una nafasi ya kuonyesha upendo wako kwa Mungu kwa kile unachofanya siku hiyo. Unaonyesha upendo huu kwa kuhudhuria kanisani, kupokea sakramenti na kuwahudumia wengine. Unapopokea sakramenti, unakumbuka dhabihu ya Yesu Kristo na kufanya upya maagano matakatifu uliyoyafanya wakati wa ubatizo.

  • Jifunze juu ya umuhimu wa kupokea sakramenti kila wiki, kutoa ushuhuda wako, na kuishika kitakatifu siku ya Sabato. Fikiria kutumia:

  • Kutoa ushuhuda wako hukusaidia kuufanya imara! Fikiria kutoa ushuhuda wako katika mkutano ujao wa ushuhuda.

Chapisha