Kuwaimarisha Waumini Wapya
Shiriki katika Jioni ya Nyumbani


“Shiriki katika Jioni ya Nyumbani,” Njia Yangu ya Agano (2020)

“Shiriki katika Jioni ya Nyumbani,” Njia Yangu ya Agano

Picha
familia ikiimba pamoja

Shiriki katika Jioni ya Nyumbani

Jioni ya nyumbani ni desturi miongoni mwa waumini ambapo familia hutenga muda kila wiki ili kuwa pamoja, kufurahia uwepo wa kila mmoja na kushiriki katika shughuli zinazowaleta karibu na kuimarisha imani yao katika Yesu Kristo.

  • Jifunze kuhusu umuhimu wa jioni ya nyumbani. Fikiria kutumia:

    • Family Home Evening” katika Learning and Serving in the Church, 5.

  • Fanya jioni ya nyumbani pamoja na familia yako mwenyewe au marafiki, au hudhuria jioni ya nyumbani ya familia katika kata.

  • Ikiwa hali yako inaruhusu, anza kufanya jioni ya nyumbani mara kwa mara na familia yako.

Chapisha