Kuwaimarisha Waumini Wapya
Shiriki Injili


“Shiriki Injili,” Njia Yangu ya Agano (2020)

“Shiriki Injili,” Njia yangu ya Agano

Picha
watu wanajifunza

Shiriki Injili

Fikiria juu ya baraka ambazo injili imeleta maishani mwako. Baba wa Mbinguni anataka watoto Wake wote wapate shangwe ya injili. Kupitia upendo wako kwa Mungu, yawezekana ukataka kushiriki nuru ya injili kwa familia yako na watu wengine.

  • Jifunze kuhusu umuhimu wa kushiriki kweli za injili na wengine. Fikiria kutumia:

    • Missionary Work” na “Ideas for Doing Missionary Work” katika Learning and Serving in the Church, 17–19.

    • Sharing the Gospel 2021 Broadcast (ChurchofJesusChrist.org).

  • Je, unaweza kushiriki injili na nani? Fikiria kwa nini wewe ulibatizwa, na ushiriki hisia zako na wengine. Au fikiria njia zingine unazoweza kushiriki nuru pamoja nao. Kisha shiriki nao.

    • Ona somo la 5, “Sheria na Ibada,” katika Hubiri Injili Yangu (2018), 86–93.

  • Unaweza kupokea maoni na fursa za kushiriki nuru na wengine kwa kujisajili kupokea ujumbe wa barua pepe wa Share Light. Nenda kwenye ChurchofJesusChrist.org/share/share-light ili kujisajili kwa ajili ya Share Light.

Ikiwa wewe ni mtoto, kijana au kijana mtu mzima mseja, fikiria juu ya uwezekano wa kuhudumu kama mmisionari katika siku zijazo.

Chapisha