Misaada ya Kujifunza
Faharasa ya Ramani za Biblia


Faharasa ya Ramani za Biblia

Kielezo cha ramani kinaweza kukusaidia wewe kupajua mahali fulani katika ramani. Kila kipengele kinajumuisha nambari ya ramani ikifuatiwa mpangilio wa mistari na muunganiko wa herufi unaoundwa na nambari. Kwa mfano, kipengele cha Raba (Amani) juu ya ramani ya kwanza imeorodheshwa kama 1:D5 ambayo ni, ramani ya 1, mraba D5. Maeneo maalumu katika ramani husika yaweza kutambulika kwa kusoma vipimo upande wa juu na pembeni mwa ramani hiyo. Majina mbadala ya mahali yameandikwa katika mabano—kwa mfano, Raba (Amani). Alama ya kuuliza baada ya jina inaonyesha kwamba eneo linaloonekana katika ramani linakisiwa kuwa ndilo au inawezekana kuwa ndilo lakini bado haijathibitika.