“Familia ya Lehi,” Rafiki, Jan. 2024, 23.
Kitafute ya Kitabu cha Mormoni
Familia ya Lehi
Picha
Alt text
Vielelezo na Suzy Gerhart
Bwana alimwamuru Lehi katika ono aondoke Yerusalemu pamoja na familia yake na wasafiri nyikani (ona 1 Nefi 2:2). Baadaye, familia ya Ishmaeli waliungana nao! Je, unaweza kuvipata vitu vyote vilivyofichwa kwenye picha hapa chini?