Januari 2024 Marafiki WapendwaSoma ujumbe kuhusu kusoma Kitabu cha Mormoni. Marafiki kwa BaruaSoma baadhi ya barua kutoka kwa rafiki zetu kote ulimwenguni! Russell M. NelsonNguvu katika Kitabu cha MormoniRais Nelson anashiriki ujumbe kuhusu nguvu inayokuja kutokana na kusoma Kitabu cha Mormoni. Noelle Lambert BarrusKusamehe Kama vile NefiAisea aliumizwa na kile mvulana alichokisema shuleni, lakini kusoma maandiko kulimsaidia asamehe. Kumfuata Yesu huko ThailandKutana na Panya kutoka Thailand na ujifunze jinsi anavyomfuata Yesu. Salamu kutoka ThailandFanya ziara ili ujifunze kuhusu Thailand! Carolina MaldonadoMaandiko ya SamiSami anakuwa mzuri kwenye kusoma kwa kufanya mazoezi kwenye maandiko. Ninaweza Kusoma MaandikoChangamoto ya kwenda na kutenda vitu ambavyo Bwana ameamuru, kama vile Nefi. Ujasiri wa NefiMuziki uliorahisishwa wa “Ujasiri wa Nefi” Haley YanceyMsukumo wa Chipsi za Viazi VitamuMaya anasikiliza msukumo ambao unasaidia kumweka salama dhidi ya mizio ya chakula. M. Russell BallardNi kwa namna gani Roho Mtakatifu anaweza kunisaidia?Soma ujumbe kutoka kwa Rais M. Russell Ballard kuhusu Roho Mtakatifu. Msikilize Roho MtakatifuMawazo kwa ajili ya shughuli za jioni ya nyumbani kwa familia David DicksonSherehe ya Kupendeza ya PapaAlex anasali kwamba mvua isinyeshe wakati wa sherehe ya kumbukizi ya kuzaliwa ya babu yake. Kumfuata Yesu PamojaMkusanyiko wa nukuu za watoto kutoka ulimwenguni kote. Mahekalu ni Nini?Kadi zenye mahekalu kutoka ulimwenguni kote. Familia ya LehiShughuli ya picha iliyofichwa ya sehemu ya matukio ya Kitabu cha Mormoni. Ushuhuda Mwingine wa Yesu KristoJifunze kuhusu jinsi gani Kitabu cha Mormoni ni ushuhuda mwingine wa Yesu Kristo. Mti wa UzimaSoma hadithi kuhusu mti wa uzima kutoka kwenye ndoto ya Lehi. Shughuli za Njoo, UnifuateTumia shughuli hizi ili kujifunza Njoo, Unifuate pamoja na familia yako. Lucy Stevenson EwellUsingizi Wakati wa Muda wa MaandikoElvira anasoma maandiko asubuhi pamoja na familia yake. Susan H. PorterUnaweza Kuleta UtofautiUjumbe kuhusu jinsi watoto wanavyoweza kutenda kama waumini wa Kanisa la Mungu. Mnyororo wa MarafikiShughuli ya sanaa kuhusu urafiki Margo na Paolomargo na Paolo wanawaandikia rafiki zao Matt na Mandy na kuwaambia kuhusu mwaka wao. Sehemu ya Watoto Wakubwa Sehemu ya Watoto WakubwaUtangulizi wa sehemu ya Watoto Wakubwa. Chelsea MortensenLengo la KusomaAnders anaweka lengo la kuwa bora katika kusoma. Chloe C.Ushuhuda Wangu MwenyeweChloe C. Anashiriki jinsi alivyopata ushuhuda wa Kitabu cha Mormoni. Unganisha MaandikoShughuli ya Kitabu cha Mormoni ya kuunganisha doti Mazungumzo na Eilish kuhusu Roho MtakatifuEilish kutoka Singapore anajibu maswali kuhusu jinsi Roho Mtakatifu anavyomsaidia. Nini kipo Akilini Mwako?Vidokezo kwa ajili ya watoto wakubwa kuhusu kuweka malengo. Sehemu ya Marafiki Wadogo Sehemu ya Marafiki WadogoKutana na baadhi ya marafiki wadogo kutoka ulimwenguni kote. Ninaweza Kumfuata Yesu kwa Kusoma MaandikoHadithi na shughuli kwa ajili ya watoto wadogo kuhusu kusoma maandiko. Maandiko ni Nini?Hadithi fupi kwa ajili ya watoto wadogo kuhusu maana ya maandiko. Maandiko Hufundisha kuhusu YesuUkurasa wa kupaka rangi wenye ujumbe “Maandiko Hufundisha kuhusu Yesu” Njooni kwa KristoBango la sanaa ya kupendeza la Yesu Kristo Wapendwa WazaziSoma ujumbe kwa ajili ya wazazi kuhusu Roho Mtakatifu.