“Sehemu ya Marafiki Wadogo,” Rafiki, Jan. 2024, 43.
Sehemu ya Marafiki Wadogo
Pichaalt textNilihisi hofu kujaribu chakula kipya, hivyo nilisali. Ninajua Baba wa Mbinguni alinisaidia niwe jasiri kukijaribu.
Olivia C., umri miaka 4, Tennessee, Marekani
Pichaalt textNinapenda kwenda kanisani kupokea sakramenti na kuwaona rafiki zangu.
Dylan K., umri miaka 4, Jakarta, Indonesia
Ninajifunza mafundisho ya Yesu;
Yatanisaidia na yatanionesha njia.
Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 160