2021
John Murdock
Septemba 2021


“John Murdock,” Kwa ajili ya Nguvu kwa Vijana, Sept. 2021, ndani ya jalada la nyuma.

Watu kutoka Historia ya Kanisa

John Murdock.

Picha
John Murdock.

Kielelezo na Patricia Castaleo

  • Oktoba 1792-1871.

  • Baada ya mke wake, Julia, kufariki, John aliwaomba Joseph na Emma Smith kuwalea mapacha wake wachanga waliokuwa wamezaliwa punde.

  • Alianzisha misheni Sydney, Australia, mwaka 1851.

  • John alihudumu angalau misheni sita kwa ajili ya Kanisa kati ya mwaka 1831 na 1853—wakati mwingine kwa dhabihu kubwa kwake mwenyewe na kwa familia yake. Maisha yake yote, alimlinda Nabii Joseph Smith na alikuwa daima mwenye kujitolea katika injili ya Yesu Kristo.

Chapisha