Machi 2022 Shajara ya Mkutano MkuuShajara ya kuwasaidia vijana kujiandaa na kushiriki kwenye mkutano mkuu utakaofanyika Aprili 2022. UnganikaWasifu na ushuhuda mfupi kutoka kwa Adam L, mvulana kutoka Jamaica. Emma StanfordSauti ya LinaheiMsichana kutoka Tahiti hutumia sauti yake kushiriki muziki, na pia kuongea kuhusu kuwasaidia mababu zake. Joshua J. Perkey na Lance FryMungu Huua na HujaliMengi yanaenda vibaya kwa Eduardo na familia yake. Ni wapi anaweza kupata faraja katikati ya majaribu? David DicksonVidokezo Vitatu vya Kupunguza Ubishi katika Familia YakoHapa kuna njia tatu za kuondoa mafuta kutoka kwenye moto wa hasira na ugomvi katika familia yako. David DicksonJinsi ya Kukabiliana na Aina Tatu za MajaribuKama Yusufu huko Misri, tunaweza kuchagua kuwa na imani katika Mungu bila kujali ni aina gani ya majaribu ambayo tunaweza kukabiliwa nayo. Vya KukatwaPata mabango mawili ya umbo dogo na alamisho unayoweza kukata. Dhima na MimiCole CollinsNguvu ya Ukuhani katika JangaWakati wa janga la UVIKO-19, kijana mmoja alijifunza furaha na fursa ya kuwahudumia wengine kupitia ukuhani. Dhima na MimiAlicia TjahyonoRoho Anaweza Kunisaidia Kujua Jinsi ya kuhudumuMsichana huko Indonesia alifuata Roho kusaidia mtu aliye na shida wakati wa janga la UVIKO-19. Rais Henry B. EyringMungu Anaweza Kutusaidia katika Nyakati NgumuRais Eyring anatumia mifano ya Agano la Kale ya Yusufu na Musa kutufundisha njia tofauti ambazo Bwana atatusaidia katika majaribu yetu Jinsi TunavyoabuduHuko Cagayan, UfilipinoMsichana kutoka Ufilipino anashiriki uzoefu wake wakati anapoabudu katika mahali anapoishi. Maswali na Majibu Maswali na MajibuNifanye nini wakati ninapohisi juhudi zangu za kushiriki injili hazileti tofauti?Vijana wanajibu swali: “Nifanye nini wakati ninapohisi juhudi zangu za kushiriki injili hazileti tofauti?” Kwenye HojaKwa nini Mungu alibadilisha jina la Yakobo kuwa Israeli?Jibu la swali: “Kwa nini Mungu alibadilisha jina la Yakobo kuwa Israeli?” Neno la MwishoMzee Neil L. AndersenJe, Unamsikilizaje Yeye?Mzee Andersen anazungumza juu ya njia tofauti tunazosikia sauti ya Bwana katika maisha yetu. BangoNjooni KwanguBango la kuhamasisha kuhusu kupata pumziko toka kwa Mwokozi.