Machi/Aprili 2022 Karibu kwenye Toleo HiliChad FordKubadili Ubishi kuwa UpendoUtangulizi wa toleo la sasa la gazeti hili,ukitilia mkazo dhima ya kubadili ubishi kuwa upendo. Kanisa Liko HapaKuala Lumpa, MalaysiaMaelezo juu ya ukuaji wa Kanisa huko Malaysia. Msikilize YeyeBango lenye sanaa nzuri na andiko. D. Todd ChristoffersonMoto wa Kutakasa wa MatesoMzee Christofferson anafundisha kwamba ikiwa tutatafuta msaada wa Baba wa Mbinguni na Yesu Kristo, shida zetu zitatutakasa badala ya kutushinda. Misingi ya InjiliKutumikia katika Miito ya KanisaKanuni za msingi kuhusu kutumikia katika miito ya Kanisa. Orson S. Franco“Je, Unamtafuta Kristo Kila Siku?Kijana mkubwa kutoka Guatemala anazungumza kuhusu umuhimu wa kumtafuta Kristo kila siku. Kanuni za KuhudumuMungu Anaweza Kutusaidia katika Nyakati NgumuMakala hii inafundisha kuwa kutokana na majaribu na changamoto zetu, tunaweza kupata uzoefu, imani, na huruma ambayo itaturuhusu sisi kuwasaidia wengine. Sauti za Watakatifu wa Siku za Mwisho Diana LoskiNipigie Simu Mimi KwanzaMama kijana ambaye anatarajia siku ya kupumzika kazini anaombwa badala yake kumtunza mwanamke mzee ambaye amepata kiharusi. Unageuka kuwa uzoefu wenye thawabu. Sandra MartinezJe! Ningeondoka?Mwongofu mpya anakwazwa wakati wa shughuli ya Muungano wa Usaidizi lakini anaamua kutoruhusu kwazo hilo kumzuia kuendelea katika Kanisa. Luz Stella de Berrio ArenasAcha Tutembelee HekaluMwanamke anamsaidia mama mkwe wake mgonjwa kwa kupata taswira pamoja naye ya kutembelea hekalu. Rirhandzo NkonyaneNinachagua Kumsikiliza YeyeUshuhuda wa msichana unaimarishwa wakati sala yake kwamba gari la familia liwake inapojibiwa. Chad FordKuuona Uso wa Mungu kwa Maadui zetuMasomo kutoka Agano la Kale kuhusu kushinda migogoro yanaweza kutoa mfano kwa ajili ya maisha yetu wenyewe. Destiny YarbroJe, Unyenyekevu ni nini, Hasa?Kwa kupanua ufafanuzi wetu juu ya unyenyekevu, tutaweza vizuri zaidi kufundisha na kuhudumu katika njia ya Mwokozi na kuweza kuwa wanyenyekevu hata katika hali zisizotarajiwa. Kelly R. JohnsonBwana Alikuwa pamoja na YusufuMzee Johnson anafundisha kwamba kupitia mfano wa Yusufu wa Misri, tunajifunza kwamba Bwana yuko pamoja nasi kila wakati, kupitia yote mazuri na mabaya. Njoo, Unifuate Mifanano kati ya Yusufu wa Misri na Yesu KristoNjia kadhaa ambazo hadithi ya Yusufu wa Misri ni kielelezo cha maisha na huduma ya Yesu Kristo. Sanaa ya Agano la KaleMtoto Musa akiwa na Mama na Dada yakeSanaa nzuri inayoonyesha mandhari ya Agano la Kale. Kurasa za Eneo la Afrika ya Kati Misheni yako na Fumbo la Urithi Uliofichwa Ardhini Kujiandaa kwa ajili ya Misheni “Misheni Yangu Haikuwa Kitu Nilichotarajia—na Hiki Ndicho Nilichojifunza” Kuwasaidia Mababu Kupata Ibada Takatifu Machi 1842: Hisani Haishindwi Kamwe Ibada na Baraka za Ukuhani