2022
Asili Yako ya Kiungu na Kudura ya Milele
Mei 2022


“Asili Yako ya Kiungu na Kudura ya Milele,” Kwa Ajili ya Nguvu Kwa Vijana, Mei. 2022.

Kikao cha Wanawake

Asili Yako ya Kiungu na Kudura ya Milele

Dondoo

Picha
bango la nyuso zenye tabasamu

Pakua PDF

Mafundisho ya thamani yanayofundishwa katika dhima ya Wasichana ni muhimu kwa ajili ya wasichana, lakini yanatumika kwa wote. …

… Kwanza, wewe ni binti mpendwa. Hakuna unachofanya—au usichofanya—kinachoweza kubadilisha hilo. Mungu anakupenda. …

Ukweli wa pili ni kwamba tunao wazazi wa mbinguni, baba na mama. …

Ukweli wa tatu katika aya ya ufunguzi wa Dhima ya Wasichana ni kwamba tuna “asili ya kiungu.” Huu ndiyo uhalisia kwenye sisi ni nani. Ni “nasaba” ya kiroho, iliyorithiwa kutoka kwa wazazi wetu wa mbinguni. …

Ukweli wa nne ni kwamba tuna “kudura ya milele.” …

… Tuna haki ya kujiamulia, lakini hatuwezi kuchagua matokeo ya kutofuata njia iliyofunuliwa. …

Tunapotubu kwa dhati, hakuna kovu la kiroho linalobaki, bila kujali kile tulichofanya, ni kikubwa kiasi gani au ni mara ngapi tumekirudia. Kadiri kila mara tunapotubu na kutafuta msamaha kwa moyo wa kweli, tunaweza kusamehewa. …

… Nguvu huja kupitia imani katika Yesu Kristo na kwa kufanya maagano matakatifu.

… Tunapotunza maagano yetu, tunapokea nguvu ya Mungu katika maisha yetu.

… Baba yetu wa Mbinguni anakutaka uwe mrithi Wake na upokee vyote Alivyonavyo. Hawezi kukupa zaidi ya hayo. Hawezi kukuahidi zaidi ya hayo. Anakupenda zaidi ya unavyojua na anataka uwe na furaha katika maisha haya na katika maisha yajayo.

Chapisha