2022
Mpendwa Msomaji wa Liahona
Mei 2022


Mpendwa Msomaji wa Liahona

Tunayo furaha kushiriki pamoja nawe baadhi ya dondoo kutoka kwenye mkutano mkuu. Tunatumaini kwamba toleo hili litakubariki wewe katika kujifunza kwako binafsi na kama familia na katika masomo yako ya Muungano wa Usaidizi na ukuhani. Wavulana na wasichana pia wanapokea dondoo sawa na hizi kutoka kwenye mkutano mkuu katika lugha nyingi kwenye gazeti la Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana.

Chapisha