Misaada ya Kujifunza
TJS, Luka 11


TJS, Luka 11:53. Linganisha na Luka 11:52

Utimilifu wa maandiko matakatifu ni ufunguo wa maarifa.

53 Ole wenu, enyi wanasheria! Kwa kuwa mmeuondoa ufunguo wa maarifa, utimilifu wa maandiko matakatifu; wenyewe hamkuingia katika ufalme; na wale walio kuwa wakiingia, mmewazuia.

Chapisha