TJS, Luka 23:35. Linganisha na Luka 23:34
Yesu anawaombea msamaha askari wa Kirumi Wanaomsulubisha.
35 Kisha Yesu akasema, Baba, uwasamehe; kwa kuwa hawajui watendalo (Akimaanisha askari wale waliomsulubisha,) na wakagawana mavazi yake wakipiga kura.