TJS, Luka 2:46. Linganisha na Luka 2:46 Wasomi katika hekalu wanamsikiliza Yesu na kumwuliza Yeye maswali. 46 Na ikawa kwamba, baada ya siku tatu wakamkuta hekaluni, amekaa katikati ya wasomi, nao walikuwa wakimsikiliza yeye, na kumwuliza maswali.