Aprili 2012 Kikao cha Jumamosi Asubuhi Kikao cha Jumamosi Asubuhi Na Rais Boyd K. PackerNa Mtoto Mdogo AtawaongozaWaume na wake wanapaswa kuelewa kwamba mwito wao wa kwanza—kwao ambao kamwe hawatawahi kuachiliwa—ni kwa mmoja na mwingine. Na Cheryl A. EsplinKuwafundisha watoto wetu kuelewaKuwafundisha watoto wetu kuelewa ni zaidi ya kupatiana maelezo. Ni kuwasaidia watoto wetu wapate mafundisho kuingia katika mioyo yao. Na Mzee Donald L. HallstromKuongolewa katika Injili kupitia Kanisa LakeDhamira ya Kanisa ni kuweza kutusaidia kuishi injili Na Mzee Paul E. KoellikerYeye Kweli AnatupendaKwa sababu ya mpangilio uliopangwa kitakatifu wa familia, tunaelewa kikamilifu jinsi Baba yetu wa Mbinguni anatupenda kikweli kila mmoja wetu sawa sawa na kikamilifu. Na Rais Henry B. EyringMlima ya kupandaKama tuna imani katika Yesu Kristo, nyakati ngumu vile vile nyakati rahisi katika maisha zinaweza kuwa baraka. Kikao cha Jumamosi Mchana Kikao cha Jumamosi Mchana Na Mzee Robert D. HalesKuzingatia moyoni mwetu na Kuweza kujitegemea Kiroho: Sakramenti, Hekalu, na Kujitolea katika HudumaTunaweza kuongoka na kuwa wa kujitegemea kiroho tunapoishi maagano yetu kwa maombi. Na Mzee Ulisses SoaresKaa katika Eneo la Bwana!Kwa hivyo, swali letu la kila siku lazima liwe “Je, matendo yangu yananiweka katika eneo la Bwana1 ama eneo la adui?” Na Mzee David S. BaxterImani, Ushupavu, Ukamilisho: Ujumbe kwa Wazazi Wasio na WenziMnajitahidi kuwalea watoto wenu katika hako na kweli, mkijua kwamba ingawa hamwezi kubadilisha yaliyopita, mnapochonga siku za usoni. Na Mzee Quentin L. CookKuwa Uwiano na Muziki wa ImaniMungu anawapenda watoto Wake wote. Anataka wote warudi Kwake. Anatamani kila mmoja kuwa na uwiano na muziki mtakatifu wa imani. Kikao cha Ukuhani Kikao cha Ukuhani Na Mzee David A. BednarNguvu za MbinguniWenye ukuhani vijana na wakongwe wote wanahitaji mamlaka na uwezo---ruhusa inayohitajika na nguvu za kiroho za kumwakilisha Mungu katika kazi ya wokovu. Na Rais Henry B. EyringFamilia chini ya AganoHakuna chochote ambacho kimekuja au kitakuja katika familia yako kilicho muhimu kama baraka za ufunganisho. Na Rais Thomas S. MonsonTayari na Mstahiki KuhudumuMiujiza iko kila mahali inapoweza kupatikana wakati ukuhani unaeleweka, uwezo wake unaheshimiwa na kutumiwa vyema, na imani inatumika. Kikao cha Jumapili Asubuhi Kikao cha Jumapili Asubuhi Na Rais Dieter F. UchtdorfWenye Rehema Watapata RehemaWakati mioyo yetu anapojazwa na upendo wa Mungu, tunakuwa “wakarimu mmoja kwa mwengine, wenye moyo laini, wenye kusamehe.” Na Mzee Russell M. NelsonShukrani Ziwe kwa MunguIngekuwa bora jinsi gani kama sote tungetambua uwezo mtakatifu na upendo wa Mungu na kutoa shukrani Kwake. Na Julie B. BeckOno la Manabii kuhusu Muungano wa Usaidizi wa Kina Mama: Imani, Familia, UsaidiziImani, familia, na usaidizi---haya maneno rahisi yamekuja kuonyesha ono la manabii kwa kina dada katika Kanisa. Kikao cha Jumapili Mchana Kikao cha Jumapili Mchana Na Mzee L Tom PerryUwezo wa UkomboziTunaweza kukombolewa kutokana na njia za uovu na dhambi kwa kugeukia mafundisho ya maandiko matakatifu. Na Mzee David F. EvansIlikuwa yenye Thamani?Kazi ya kushiriki injili vifaavyo na kawaida na wale tunaojali na kupenda itakuwa kazi na furaha ya maisha yetu. Na Mzee Paul B. PieperKuweka TakatifuVitu takatifu vinapaswa kuchukuliwa kwa makini sana, kupewa heshima kubwa, na kuangaliwa kwa uchaji mkuu.