Mkutano mkuu wa Aprili 2024 Kikao cha Jumamosi Asubuhi Kikao cha Jumamosi AsubuhiKikao cha Jumamosi Asubuhi cha Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 194 wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho ulio anyika tarehe 6–7, Aprili 2024. Dallin H. OaksKuwakubali Viongozi Wakuu wenye Mamlaka, Sabini wa Maeneo na Maafisa WakuuRais Oaks anawasilisha Viongozi Wakuu Wenye Mamlaka, Sabini wa Maeneo na Maafisa Wakuu kwa ajili ya kura ya kuwakubali. Jared B. LarsonRipoti ya Idara ya Ukaguzi wa Hesabu za Kanisa, 2023Jared B. Larson anasoma Ripoti ya Ukaguzi ya Kanisa. Jeffrey R. HollandHamu Halisi ya NafsiMzee Holland anafundisha kuhusu nguvu ya sala na anashuhudia kwamba Mungu hujibu kila sala. J. Anette DennisMvaeni Bwana Yesu KristoDada Dennis anafundisha kuhusu umuhimu, nguvu, na baraka za kufanya na kushika maagano na Mungu. Alexander DushkuNguzo na MialeMzee Dushku anatufundisha kwamba uzoefu wa kiroho wa kustaajabisha ni nadra na kwamba Bwana kwa kawaida anatupa sisi mwale mmoja wa nuru kwa wakati. Ulisses SoaresKujiamini Kimaagano kupitia Yesu KristoMzee Soares anafundisha kuhusu umuhimu wa kuishi kwa maagano tuliyofanya, ambayo yatatupatia sisi nguvu na kujiamini. Jack N. GerardUadilifu: Sifa Kama ya KristoMzee Gerard anafundisha kwamba kuishi maisha ya uadilifu humaanisha kuwa mkweli kwa Mungu, kwa kila mmoja wetu na kwenye utambulisho wetu wa kiungu. Henry B. EyringYote Yatakuwa Sawa Kwa Sababu ya Maagano ya HekaluniRais Eyring anafundisha kwamba tunapofanya na kushika maagano ndani ya hekalu, tutapokea baraka nyingi za kiroho, sasa na milele. Kikao cha Jumamosi Mchana Kikao cha Jumamosi MchanaKikao cha Jumamosi Mchana cha Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 194 wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho uliofanyika tarehe 6–7, Aprili 2024. David A. Bednar“Tulieni na Jueni Kuwa Mimi ni Mungu”Mzee Bednar anafundisha kwamba tunapokuwa “tuli,” tunaweza kujua kwamba Mungu ni Baba yetu wa Mbinguni na Yesu Kristo ni Mwokozi wetu. Massimo De FeoInuka! Yeye Anakuita WeweMzee De Feo anafundisha kwamba baraka huja tunapofokasi juu ya Yesu Kristo, na kuendelea kutubu na kuruhusu sisi wenyewe kuongozwa na sauti ya Bwana. Brent H. NielsonUshahidi wa Kile Nilichoona na KusikiaMzee Nielson anaelezea ukuaji wa Kanisa ambao ameuona ulimwenguni kote. Jose L. AlonsoYesu Kristo kwenye Kitovu cha Maisha YetuMzee Alonso anashuhudia kwamba tunapomweka Yesu Kristo kwenye kitovu cha maisha yetu, tutapata tumaini, nguvu na uponyaji. Gerrit W. GongMambo Yote kwa Faida YetuMzee Gong anatoa hakikisho kwamba katika mpango wa Baba yetu wa Mbinguni, hata majanga na majaribio mengine magumu yanaweza kuwa kwa faida yetu. Michael T. NelsonKatika Kuunga Mkono Kizazi KinachoinukiaKaka Nelson anafundisha kwamba uhusiano tulionao na vijana unaweza kuwashawishi wafanye chaguzi nzuri zaidi. Quentin L. CookKuwa na Umoja pamoja na KristoMzee Cook anafundisha kwamba tunapaswa kujitahidi kuwajumuisha wengine kwenye mduara wetu wa umoja, kwamba tuunganishwe kwa imani katika Yesu Kristo, na kwamba kiini cha kuwa sehemu ya, ni kuwa wamoja na Kristo. Kikao cha Jumamosi Jioni Kikao cha Jumamosi JioniKikao cha Jumamosi Jioni cha Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 194 wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho uliofanyika tarehe 6–7, Aprili 2024. Shayne M. BowenMiujiza, Malaika na Nguvu za UkuhaniMzee Bowen anafundisha kwamba miujiza haijakoma, Malaika wapo miongoni mwetu, na mbingu zipo wazi. Steven R. BangerterKutawazwa Kutumikia kabla ya Maisha HayaMzee Bangerter anawafundisha vijana kwamba wametawazwa kabla ya maisha haya ili kutimiza jukumu fulani katika maisha haya na kwamba Mungu anaweza kufunua haya kwao kadiri wanavyotafuta kuyajua na kuyafanya mapenzi Yake. Andrea Muñoz SpannausMwaminifu hadi MwishoDada Spannus anafundisha njia sita ambazo tunaweza kujiandaa wenyewe kukabiliana na ulimwengu na kuwa waaminifu hadi mwisho. Matthew L. CarpenterMatunda Ambayo YanadumuMzee Carpenter anafundisha kuhusu agano jipya na lisilo na mwisho la ndoa na baraka za milele zinazoletwa na agano hilo. Dieter F. UchtdorfFuraha ya Juu ZaidiMzee Uchtdorf anafundisha kwamba tunaweza kupata shangwe ya juu tunaposonga karibu na Mungu, kujitahidi kumfuata Yesu kristo na kutafuta kuleta shangwe kwa wale wanaotuzunguka. Kikao cha Jumapili Asubuhi Kikao cha Jumapili AsubuhiKikao cha Jumapili Asubuhi cha Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 194 wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho uliofanyika tarehe 6–7, Aprili 2024. Ronald A. RasbandManeno ni MuhimuMzee Rasband anafundisha kwamba maneno ya Bwana, maneno ya manabii, na maneno yetu wenyewe ni muhimu na kwamba kusema “Asante,” “Pole” na “Ninakupenda” inaweza kusaidia kuonyesha heshima kwa wengine. Susan H. PorterOmbeni, Yeye YupoRais Porter anawafundisha watoto kuhusu kusali ili kujua Baba wa Mbinguni yupo, kusali ili kukua wawe kama Yeye, na kusali ili kuonyesha upendo Wake kwa wengine. Dale G. RenlundMuunganiko Wenye Nguvu, Mtakatifu wa Mafundisho ya KristoMzee Renlund anafundisha kwamba mafundisho ya Kristo siyo tukio la wakati mmoja bali ni mchakato wa kila siku. Paul B. PieperMtumaini BwanaMzee Pieper anafundisha kwamba tunaweza kuimarisha uhusiano wetu na Mungu pale tu tunapochagua kuongeza kina cha tumaini letu Kwake. Patrick KearonNia ya Mungu ni Kukuleta NyumbaniMzee Kearon anafundisha kwamba mpango wa Mungu umesanifiwa kuwasaidia watoto Wake kurudi nyumbani Kwake ili sisi sote tuweze kupokea uzima wa milele. Brian K. TaylorKumezwa katika Shangwe ya KristoMzee Taylor anafundisha kanuni za kutusaidia kuhisi amani, tumaini, na shangwe wakati wa majaribu. Dallin H. OaksMaagano na MajukumuRais Oaks anafundisha kuhusu umuhimu wa kufanya maagano na Mungu na baraka ambazo huja kutokana na kushika maagano hayo. Kikao cha Jumapili Mchana Kikao cha Jumapili MchanaKikao cha Jumapili Mchana cha Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 194 wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho uliofanyika tarehe 6–7, Aprili 2024. D. Todd ChristoffersonUshuhuda Juu ya YesuMzee Christofferson anafundisha kile inachomaanisha kuwa jasiri katika ushuhuda wa Kristo na anatualika tuchukue hatua sasa kuwa miongoni mwa wale walio jasiri. Taylor G. GodoyIta, UsiangukeMzee Godoy anafundisha kwamba tunaposali kwa Baba yetu wa Mbinguni, Yeye atajibu sala zetu katika njia binafsi kwa kila mtu. Gary E. StevensonKuunganisha Amri Mbili KuuAkilinganisha amri mbili kuu na minara kwenye daraja, Mzee Stevenson anafundisha umuhimu wa kumpenda Mungu na wengine. Mathias HeldUpinzani Katika Mambo YoteMzee Held anafundisha kwamba upinzani ni muhimu katika maendeleo ya milele. Neil L. AndersenMahekalu, Nyumba za Bwana Zikienea DunianiMzee Andersen anashuhudia kwamba mahekalu yatatuhifadhi, kutulinda na kutuandaa kwa ajili ya kurudi kwa Yesu Kristo. Mark L. PaceNi Hekima ya Bwana Kwamba Tuwe na Kitabu cha MormoniRais Pace anafundisha jinsi kusoma Kitabu cha Mormoni hutuleta karibu na Yesu Kristo na kutubariki katika njia nyingi. Russell M. NelsonFurahia Katika Zawadi ya Funguo za UkuhaniRais Nelson anafundisha jinsi funguo za ukuhani na kuabudu hekaluni kunavyoweza kuyabariki maisha yetu.