2023
Msikilize Yeye
Julai 2023


“Msikilize Yeye,” Liahona, Julai 2023

Msikilize Yeye

Picha
Yesu akiosha miguu ya mmoja wa Mitume Wake

“Basi ikiwa mimi, niliye Bwana na Mwalimu, nimewatawadha miguu, imewapasa vivyo kutawadhana miguu ninyi kwa ninyi.

“Kwa kuwa nimewapa kielelezo; ili kama mimi nilivyowatendea, nanyi mtende vivyo.

“Amin, amin, nawaambia ninyi, Mtumwa si mkuu kuliko bwana wake; wala mtume si mkuu kuliko yeye aliyempeleka.

Mtumwa, na Yongsung Kim, isinakiliwe

Chapisha