Misaada ya Kujifunza
27. Nazarethi


27. Nazarethi

Picha
picha 27

Mandhari hii ya mji wa kisasa wa Nazarethi inaangalia kuelekea kusini. Nazarethi kilikuwa kijiji kidogo katika nyakati za Biblia.

Matukio Muhimu: Nefi alimwona katika ono mama wa Mwokozi katika Nazarethi (1 Ne. 11:13–22). Malaika Gabrieli alimwambia Maria kwamba angemzaa Mwokozi (Lk. 1:26–35). Gabrieli alimwambia Yusufu amchukue Maria kuwa mke wake na kumwita mwanawe jina Yesu (Mt. 1:18–25). Yesu alikulia katika Nazarethi (Mt. 2:19–23; Lk. 2:4–40; 4:16). Alihubiri mahubiri yake ya kwanza na alitangaza katika sinagogi ya kuwa yeye alikuwa ndiye Masiya (Lk. 4:16–21), lakini watu wa Nazarethi walimkataa (Mt. 13:54–58; Lk. 4:22–30). (Ona MWM Nazarethi.)

Chapisha