Misaada ya Kujifunza
13. Golgotha


13. Golgotha

Picha
picha 13

Mwamba huu, ambao hufanana na fuvu la kichwa na uko nje kidogo tu ya Lango la Dameski ya Yerusalemu (Yn. 19:17, 20), yawezekana kuwa ni Golgotha, mahali ambapo Kusulubishwa kulifanyika.

Tukio Muhimu: Baada ya Yesu kuwa amepigwa mijeledi na kudhihakiwa, Aliletwahadi “mahali palipoitwa Golgotha—mahali pa fuvu la kichwa.” Mahali ambapo Alisulubiwa (Mt. 27:26–35; Yn. 19:17–18). (Ona MWM Golgotha.)

Chapisha