Misaada ya Kujifunza
7. Bethlehemu


7. Bethlehemu

Picha
picha 7

Picha hii huonyesha milima ya mawe na mbuga za malisho ya wachungaji katika sehemu ya mandhari ya mbele, pamoja na mji wa kisasa wa Bethlehemu sehemu ya nyuma.

Matukio Muhimu: Raheli alizikwa karibu na hapa (Mwa. 35:16–20). Rutu na Boazi waliishi hapa (Rut. 1:19–2:4). Hapa Mfalme Daudi alizaliwa na kupakwa mafuta kuwa mfalme (1 Sam. 16:1–13). Mwokozi alizaliwa hapa, na wachungaji na mamajusi Wakamwabudu (Mt. 2:1–11; Lk. 2:4–16). (Ona MWM Bethlehemu.)

Chapisha