Misaada ya Kujifunza
32. Kisiwa cha Patmo


32. Kisiwa cha Patmo

Picha
picha 32

Patmo ni kisiwa katika bahari ya Aegani ambako Yohana alifukuziwa (Ufu. 1:9). Kulingana na mapokeo, yeye alikuwa akifanya kazi huko katika machimbo ya mawe ya marumaru.

Tukio Muhimu: Yohana aliona ono kuu linalojulikana kama Ufunuo (Kitabu cha Ufunuo). Bwana alimwambia kukipeleka kwa makanisa saba yaliyoko katika Asia (Ufu. 1:11).

Chapisha