Golgotha Ona pia Kusulubiwa; Yesu Kristo Golgotha maana yake “fuvu” katika lugha ya Kiaramaiki. Ni jina la mahali ambapo Kristo alisulubiwa (Mt. 27:33; Mk. 15:22; Yn. 19:17). Jina la Kilatini la mahali hapa ni Kalvari (Lk. 23:33).