Uso Kwa ujumla ni uonekano wa uso wa mtu, ambao mara nyingi huakisi mtazamo wa kiroho na hali ya mawazo. Nyuso zao za shuhudia juu yao, Isa. 3:9. Uso wa mfalme ukambadilika, na fikra zake zikamfadhaisha, Dan. 5:6. Uso wake ulikuwa kama umeme, Mt. 28:3. Uso wake ulikuwa kama jua, Ufu. 1:16. Je, mmepokea mfano wa Mungu katika nyuso zenu, Alma 5:14, 19. Amoni akaona uso wa mfalme ulibadilika, Alma 18:12. Fungeni na msali kwa moyo wenye furaha na nyuso zilizo changamka, M&M 59:14–15. Uso wake ulingara kuliko mngaro wa jua, M&M 110:3.