Ushauri Ona pia Nabii Maonyo madogo, maonyo, ushauri, na mafundisho kutoka kwa Bwana na viongozi Wake aliowaweka. Nitakupa shauri, Ku. 18:19. Mungu ataniongoza kwa shauri lake, Zab. 73:24. Pasipo ushauri kutolewa watu huanguka, Mit. 11:14. Mafarisayo na wana-sheria walilipinga shauri la Mungu, Lk. 7:30. Kuelimika ni vyema ikiwa watatii ushauri wa Mungu, 2Â Ne. 9:29. Sikiliza ushauri wake yeye aliyekutawaza, M&M 78:2. Pokea ushauri wake yeye niliyemteua, M&M 108:1. Alitamani kuweka baraza lake badala ya baraza ambalo nimelitawaza, M&M 124:84. Sikilizeni ushauri wa mtumishi wangu Joseph, M&M 124:89. Kama mtu yeyote hatafuti ushauri wangu, hatakuwa na uwezo, M&M 136:19.