Samu Ona pia Lehi, Baba wa Nefi Katika Kitabu cha Mormoni, ni mwana wa tatu wa Lehi (1 Ne. 2:5). Alikuwa mtu wa haki na mtakatifu aliyechagua kumfuata Bwana (1 Ne. 2:17; 2 Ne. 5:5–6; Alma 3:6).