Shemasi Ona pia Ukuhani wa Haruni Wito katika huduma ya Kanisa wakati wa Mtume Paulo (Flp. 1:1; 1 Tim. 3:8–13) na ni ofisi katika Ukuhani wa Haruni (M&M 20:38, 57–59; 84:30, 111; 107:85).