Pilato, Pontio
Mtawala wa Kirumi katika Yuda, mwaka 26–36 B.K. (Lk. 3:1). Aliwachukia watu wa Uyahudi na dini yao na akawaua baadhi ya Wagalilaya (Lk. 13:1). Yesu alishtakiwa na kuhukumiwa kusulubiwa mbele ya Pilato (Mt. 27:2, 11–26, 58–66; Mk. 15; Lk. 23; Yn. 18:28–19:38).