Mfariji
Maandiko yanazungumzia juu ya Wafariji wawili. Wa kwanza ni Roho Mtakatifu (Yn. 14:26–27; Moro. 8:26; M&M 21:9; 42:17; 90:11). Mfariji wa pili ni Bwana Yesu Kristo (Yn. 14:18, 21, 23). Mtu ampatapo Mfajiri wa pili, Yesu Kristo atamtokea wakati fulani fulani, atamfunulia Baba, naye atamfundisha uso kwa uso (M&M 130:3).