Baba, Mwili wenye kufa Ona pia Baraka za Kipatriaki; Familia; Kipatriaki, Patriaki; Wazazi Cheo kitakatifu kinachomhusu mwanamume ambaye amezaa au amepanga mtoto kisheria. Waheshimu baba yako na mama yako, Ku. 20:12 (Kum. 5:16; Mt. 19:19; Mos. 13:20). Baba humrudi mwanawe ampendaye, Mit. 3:12. Akina baba, msiwachokoze watoto wenu ili wakasirike, Efe. 6:1–4. Nilifundishwa katika ujuzi wote wa baba yangu, 1 Ne. 1:1. Baba yangu alikuwa mtu wa haki—kwani alinifundisha, Eno. 1:1. Alma alisali kwa ajili ya mwanawe, Mos. 27:14. Alma alitoa amri kwa wanawe, Alma 36–42. Helamani aliwapa wanawe majina ya mababu zao, Hel. 5:5–12. Mormoni daima alikuwa akiwakumbuka wanawe katika sala zake, Moro. 8:2–3. Mambo makuu yaweza kuhitajika kutoka mikononi mwa akina baba, M&M 29:48. Kila mwanamume analazimika kuitunza familia yake yeye mwenyewe, M&M 75:28. Aliniamuru niende kwa baba yangu, JS—H 1:49.