Upangaji Uzazi Ona pia Familia; Ndoa, Oa, Olewa Kupanga idadi ya watoto wa kuzaliwa kwa mke na mume kwa kuweka kikomo au kwa kuzuia utungaji mimba. Zaeni, na mkaongezeke, na mkaijaze dunia, Mwa. 1:28 (Musa 2:28). Watoto ndiyo urithi wa Bwana, Zab. 127:3–5. Familia ya Lehi walitakiwa kumzalia Bwana kizazi, 1 Ne. 7:1. Ndoa iliagizwa na Mungu kwa mwanadamu, M&M 49:15–17. Walioinuliwa watapokea utimilifu na kuendelea kwa vizazi milele na milele, M&M 132:19, 63.