Wimbo Ona pia Imba; Muziki Namna ya kumtukuza Mungu. Wimbo uliimbwa na Mitume Kumi na Wawili kabla ya Bwana hajaenda Gethsemani, Mt. 26:30. Bwana alimwita Emma Smith kufanya uteuzi wa nyimbo takatifu, M&M 25:11. Wimbo wa mwenye haki ni sala kwangu, na utajibiwa kwa baraka juu ya vichwa vyao, M&M 25:12. Msifuni Bwana kwa kuimba na kwa muziki, M&M 136:28.