Utukufu wa Telestia Ona pia Madaraja ya Utukufu Daraja la chini kabisa kati ya madaraja matatu ya utukufu ambamo ndani yake watu wataishi baada ya Hukumu ya Mwisho. Paulo aliona utukufu wa nyota, 1 Kor. 15:40–41. Joseph Smith na Sidney Rigdon waliona utukufu wa telestia, M&M 76:81–90. Wakazi wa ulimwengu wa telestia walikuwa wengi pasipo idadi kama vile nyota, M&M 76:109–112. Mtu asiyeweza kustahmili sheria za ufalme wa telestia hawezi kustahmili utukufu wa telestia, M&M 88:24, 31, 38.