Esau
Katika Agano la Kale, ni mwana mkubwa wa Isaka na Rebeka na kaka pacha wa Yakobo. Kaka hawa wawili walikuwa wapinzani tangu kuzaliwa kwao (Mwa. 25:19–26). Wazao wa Esau, ni Waedomu, na wazao wa Yakobo ni Waisraeli, wakawa mataifa pinzani (Mwa. 25:23).