Woodruff, Wilford Ona pia Manifesto; Tamko Rasmi 1 Rais wa nne wa Kanisa baada ya Urejesho wa injili kupitia kwa Joseph Smith Nabii. Alizaliwa katika mwaka 1807 na alifariki katika mwaka 1898. Aliitwa kujaza nafasi katika Baraza la wale Kumi na Wawili, M&M 118:6. Alikuwa miongoni mwa roho teule zilizowekwa ili kuja katika kipindi cha utimilifu wa nyakati, M&M 138:53. Alipokea ufunuo wa kusimamisha ndoa za wake wengi katika Kanisa, TR 1.