Hutumika kwa wanadamu wote, mwanaume na mwanamke. Wanadamu wote wanaume na wanawake ni watoto hasa wa kiroho wa Baba wa Mbinguni. Wanapozaliwa duniani, hupokea maumbile, miili yenye kufa. Miili hii iliumbwa kwa mfano wa Mungu (Mwa. 1:26–27 ). Wanaume na wanawake walio waaminifu katika kupokea ibada muhimu, kushika maagano yao, na kutii amri za Mungu wataingia katika kuinuliwa kwao na kuwa kama Mungu.
Kazi za watu ndizo zenye kubatilika, siyo kazi za Mungu, M&M 3:3 .
Hupaswi kumwogopa mwanadamu zaidi kuliko Mungu, M&M 3:7 (M&M 30:11 ; 122:9 ).
Vitu vyote vimefanywa kwa faida na matumizi ya mwanadamu, M&M 59:18 .
Najua ya kuwa mwanadamu si kitu, Musa 1:10 .
Kazi na utukufu wa Mungu ni kuleta kutokufa na uzima wa milele wa mwanadamu, Musa 1:39 .
Mwanadamu, mtoto wa kiroho wa Baba wa Mbinguni
Wakaanguka kifudifudi, na kusema, Ee Mungu, Mungu wa roho za wenye mwili wote, Hes. 16:22 (Hes. 27:16 ).
Ninyi ni wana wa Bwana Mungu wenu, Kum. 14:1 .
Ninyi ni miungu na ninyi nyote ni watoto wa Aliye Juu Sana, Zab. 82:6 .
Ninyi ni wana wa Mungu aliye hai, Hos. 1:10 .
Je, sisi sote hatuna Baba mmoja? Je, Mungu aliyetuumba si mmoja, Mal. 2:10 .
Sisi tu wazao wa Mungu, Mdo. 17:29 .
Roho mwenyewe hushuhudia ya kuwa sisi tu watoto wa Mungu, Rum. 8:16 .
Kujitia chini ya Baba wa roho, Ebr. 12:9 .
Wakazi wa ulimwengu ni wana na mabinti wa Mungu, M&M 76:24 .
Mwanzoni mwanadamu alikuwa pamoja na Baba, M&M 93:23, 29 .
Mungu aliwaumba wanadamu wote kiroho, kabla hawajakuwa juu ya uso wa dunia, Musa 3:5–7 .
Mimi ndimi Mungu; niliyeufanya ulimwengu, na wanadamu kabla hawajawa katika mwili, Musa 6:51 .
Mwanadamu, uwezekano wa kuwa kama Baba wa Mbinguni
Kwa hiyo kuweni wakamilifu, hata kama Baba yenu, Mt. 5:48 (3Â Ne. 12:48 ).
Je, haikuandikwa katika torati yenu ya kwamba ndinyi miungu, Yn. 10:34 (M&M 76:58 ).
Twaweza kuwa warithi wa Mungu na warithi pamoja na Kristo, Rum. 8:17 .
Wewe u mwana, na kama u mwana, basi u mrithi wa Mungu kwa njia ya Kristo, Gal. 4:7 .
Atakapodhihirishwa, tutafanana naye, 1Â Yoh. 3:2 .
Kwake ashindaye nitampa kuketi pamoja nami katika kiti changu cha enzi, Ufu. 3:21 .
Wale watakaorithi ufalme wa selestia ndiyo miungu, hata wana wa Mungu, M&M 76:50, 58 .
Kisha watakuwa miungu, kwa sababu wanao uwezo wote, M&M 132:20 .