Sauli, Mfalme wa Israeli Katika Agano la Kale, ni mfalme wa kwanza wa Israeli kabla haijagawanyika. Ingawa alikuwa mwadilifu mwanzoni mwa utawala wake, hatimaye akawa amejaa kiburi na akawa siyo mtiifu kwa Mungu (1 Sam. 9–31).