Koriantoni Ona pia Alma, Mwana wa Alma Katika Kitabu cha Mormoni, ni mwana wa Alma, aliyekuwa mwana wa Alma. Alikwenda kwa Wazorami, Alma 31:7. Aliitekeleza huduma kwa kumfuata kahaba, Alma 39:3. Alma alimfundisha hali ya maisha baada ya kifo, ufufuko, na upatanisho, Alma 39–42. Aliitwa tena kuhubiri, Alma 42:31. Alikwenda nchi ya upande wa kaskazini kwa merikebu, Alma 63:10.